# Taarifa ya ujumla Mwandishi atoa sababu fupi wapi wanaisraeli walikuwa wamesafiri. # Watu wa Israeli...nchi yenye vijito vya maji Hii utupa taarifa ya nyuma kuhusu wapi watu wa Israeli walisafiri. Pia inagusa kifo cha asili cha Moserathi. # Beerothi Bene Jaakani kwa Moserathi...Gudgodah...Jotbathah Haya ni majina ya maeneno tofauti watu wa Israeli walipita wakati wakiwa jangwani. # Beerothi Bene Jaakan Mtofasiri anaweza kuongeza maelezo: "Jina 'Beerothi Bene Jaakan' umaanisha "visima ambavyo vilikuwa vya watu wa Jaakan." # huko alizikwa Hii ina kutofasiriwa kwa kauli tendaji. "Huko ndiko walikomzika" au wanaisraeli walimzika huko" # Eleazari Hili ni jina la mwana wa Aaroni