sw_tn/deu/10/03.md

471 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani

kama kwanza

Hapa "kwanza" urejea kwa mbao za kwanza za jiwe. "kama mbao mbili za kwanza za jiwe"

alienda juu ya mlima

"alienda juu ya mlima Sinai"

nje katikati ya moto

Ilikuwa kama Yahwe alikuwa mtu anasimama katikati mwa moto na kuzungumza kwa sauti kubwa.

kwenye siku ya kusanyiko

Nomino ya kufikiri "kusanyiko" inaweza kuelezwa kama tendo "kusanya pamoja"