# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani # kama kwanza Hapa "kwanza" urejea kwa mbao za kwanza za jiwe. "kama mbao mbili za kwanza za jiwe" # alienda juu ya mlima "alienda juu ya mlima Sinai" # nje katikati ya moto Ilikuwa kama Yahwe alikuwa mtu anasimama katikati mwa moto na kuzungumza kwa sauti kubwa. # kwenye siku ya kusanyiko Nomino ya kufikiri "kusanyiko" inaweza kuelezwa kama tendo "kusanya pamoja"