sw_tn/deu/10/03.md

20 lines
471 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani
# kama kwanza
Hapa "kwanza" urejea kwa mbao za kwanza za jiwe. "kama mbao mbili za kwanza za jiwe"
# alienda juu ya mlima
"alienda juu ya mlima Sinai"
# nje katikati ya moto
Ilikuwa kama Yahwe alikuwa mtu anasimama katikati mwa moto na kuzungumza kwa sauti kubwa.
# kwenye siku ya kusanyiko
Nomino ya kufikiri "kusanyiko" inaweza kuelezwa kama tendo "kusanya pamoja"