sw_tn/deu/09/11.md

16 lines
467 B
Markdown

# siku arobaini na usiku arobaini
"siku 40 na usiku arobaini"
# mbao mbili za jiwe, mbao za agano
Kundi la maneno la pili ufafanua kwamba "mbao mbili za jiwe" ni zile ambazo Mungu aliandikwa amri kumi .
# watu wako...wamekuwa wafisadi wenyewe
"watu wako...wanafanya kile kilichokibaya."
# Wamegeuka kwa haraka kando nje ya njia amgayo niliwaamuru
Musa azungumza kama kutii amri za Mungu walikuwa wanatembea kando ya njia. "Tayari wameshindwa kutii amri zangu"