sw_tn/deu/09/11.md

467 B

siku arobaini na usiku arobaini

"siku 40 na usiku arobaini"

mbao mbili za jiwe, mbao za agano

Kundi la maneno la pili ufafanua kwamba "mbao mbili za jiwe" ni zile ambazo Mungu aliandikwa amri kumi .

watu wako...wamekuwa wafisadi wenyewe

"watu wako...wanafanya kile kilichokibaya."

Wamegeuka kwa haraka kando nje ya njia amgayo niliwaamuru

Musa azungumza kama kutii amri za Mungu walikuwa wanatembea kando ya njia. "Tayari wameshindwa kutii amri zangu"