# siku arobaini na usiku arobaini "siku 40 na usiku arobaini" # mbao mbili za jiwe, mbao za agano Kundi la maneno la pili ufafanua kwamba "mbao mbili za jiwe" ni zile ambazo Mungu aliandikwa amri kumi . # watu wako...wamekuwa wafisadi wenyewe "watu wako...wanafanya kile kilichokibaya." # Wamegeuka kwa haraka kando nje ya njia amgayo niliwaamuru Musa azungumza kama kutii amri za Mungu walikuwa wanatembea kando ya njia. "Tayari wameshindwa kutii amri zangu"