sw_tn/deu/09/05.md

395 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.

unyofu wa moyo wako

"kwa sababu daima unafikiri na kutamani vitu sahihi"

ili kwamba aweze kufanya kuwa kweli neno

Hapa ni maneno "neno" urejea kwa kile Mungu ameahidi."ili kwamba aweze kutimiza ahadi"

babu zenu, Abrahamu, Isaka, na Yakobo

Abrahamu, Isaka, na Yakobo ni "mababu" ambao Musa anazungumza