sw_tn/deu/09/05.md

16 lines
395 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.
# unyofu wa moyo wako
"kwa sababu daima unafikiri na kutamani vitu sahihi"
# ili kwamba aweze kufanya kuwa kweli neno
Hapa ni maneno "neno" urejea kwa kile Mungu ameahidi."ili kwamba aweze kutimiza ahadi"
# babu zenu, Abrahamu, Isaka, na Yakobo
Abrahamu, Isaka, na Yakobo ni "mababu" ambao Musa anazungumza