# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja. # unyofu wa moyo wako "kwa sababu daima unafikiri na kutamani vitu sahihi" # ili kwamba aweze kufanya kuwa kweli neno Hapa ni maneno "neno" urejea kwa kile Mungu ameahidi."ili kwamba aweze kutimiza ahadi" # babu zenu, Abrahamu, Isaka, na Yakobo Abrahamu, Isaka, na Yakobo ni "mababu" ambao Musa anazungumza