sw_tn/deu/08/09.md

28 lines
650 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.
# nchi ambayo mtakula mkate pasipo kupungukiwa
"nchi ambapo kutakuwa chakula kingi kwa ajili yenu"
# ambapo hautaenda pasipo kuwa na kitu
Hii inaweza kutajwa katika mfumo chanya. "ambapo utakuwa na kila kitu unachohitaji"
# mawe yaliyotengenezwa kwa chuma
Mawe yaliyojaa madini ya chuma. Chuma ni kigumu utumika kwa upanga na plau.
# chimba shaba
"mgodi wa shaba." Shaba chuma kiliani utumika kwa kutengenezea vyombo vya nyumbani.
# Mtakula na kushiba
"Mtakuwa na chakula cha kutosha kula mpaka mnashiba"
# mtabariki
"mtasifu" au "mtatoa shukrani kwa"