# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja. # nchi ambayo mtakula mkate pasipo kupungukiwa "nchi ambapo kutakuwa chakula kingi kwa ajili yenu" # ambapo hautaenda pasipo kuwa na kitu Hii inaweza kutajwa katika mfumo chanya. "ambapo utakuwa na kila kitu unachohitaji" # mawe yaliyotengenezwa kwa chuma Mawe yaliyojaa madini ya chuma. Chuma ni kigumu utumika kwa upanga na plau. # chimba shaba "mgodi wa shaba." Shaba chuma kiliani utumika kwa kutengenezea vyombo vya nyumbani. # Mtakula na kushiba "Mtakuwa na chakula cha kutosha kula mpaka mnashiba" # mtabariki "mtasifu" au "mtatoa shukrani kwa"