sw_tn/deu/08/09.md

650 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.

nchi ambayo mtakula mkate pasipo kupungukiwa

"nchi ambapo kutakuwa chakula kingi kwa ajili yenu"

ambapo hautaenda pasipo kuwa na kitu

Hii inaweza kutajwa katika mfumo chanya. "ambapo utakuwa na kila kitu unachohitaji"

mawe yaliyotengenezwa kwa chuma

Mawe yaliyojaa madini ya chuma. Chuma ni kigumu utumika kwa upanga na plau.

chimba shaba

"mgodi wa shaba." Shaba chuma kiliani utumika kwa kutengenezea vyombo vya nyumbani.

Mtakula na kushiba

"Mtakuwa na chakula cha kutosha kula mpaka mnashiba"

mtabariki

"mtasifu" au "mtatoa shukrani kwa"