sw_tn/deu/06/24.md

16 lines
348 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja. Anawaambia kile wanachopaswa kuwaambia watoto wao kuhusu amri za Yahwe.
# mbele ya Yahwe
"katika uwepo wa Yahwe" au "wapi Yahwe anaweza kutuon sisi"
# shika
"tii"
# hii itakuwa haki yetu
Hili ni neno. "atatuangalia sisi wenye haki"