sw_tn/deu/06/24.md

348 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja. Anawaambia kile wanachopaswa kuwaambia watoto wao kuhusu amri za Yahwe.

mbele ya Yahwe

"katika uwepo wa Yahwe" au "wapi Yahwe anaweza kutuon sisi"

shika

"tii"

hii itakuwa haki yetu

Hili ni neno. "atatuangalia sisi wenye haki"