# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja. Anawaambia kile wanachopaswa kuwaambia watoto wao kuhusu amri za Yahwe. # mbele ya Yahwe "katika uwepo wa Yahwe" au "wapi Yahwe anaweza kutuon sisi" # shika "tii" # hii itakuwa haki yetu Hili ni neno. "atatuangalia sisi wenye haki"