sw_tn/deu/05/32.md

16 lines
285 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Utaishika
Musa anawapa amri watu wa Israeli.
# hautageukia mkono wa kulia wala kushota
Hii inalinganisha mtu kutomtii Mungu na mtu kuiacha njia sahihi.
# kuongeza siku zako
Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu.