sw_tn/deu/05/32.md

285 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Utaishika

Musa anawapa amri watu wa Israeli.

hautageukia mkono wa kulia wala kushota

Hii inalinganisha mtu kutomtii Mungu na mtu kuiacha njia sahihi.

kuongeza siku zako

Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu.