# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Utaishika Musa anawapa amri watu wa Israeli. # hautageukia mkono wa kulia wala kushota Hii inalinganisha mtu kutomtii Mungu na mtu kuiacha njia sahihi. # kuongeza siku zako Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu.