sw_tn/deu/05/25.md

442 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha wanaisraeli kile walichokuwa wamesema kwa Musa

Lakini tufe?

Walikuwa wameogopa kwamba watakufa kama alizungumza nao. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Tunaogopa kuwa tutakufa"

Nani badala yetu yuko hapo...amefanya?

Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Hakuna watu badala yetu...wamefanya"

nyama yote

Hili ni neno kwa ajili ya "watu wote" au "viumbe vyote."