# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha wanaisraeli kile walichokuwa wamesema kwa Musa # Lakini tufe? Walikuwa wameogopa kwamba watakufa kama alizungumza nao. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Tunaogopa kuwa tutakufa" # Nani badala yetu yuko hapo...amefanya? Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Hakuna watu badala yetu...wamefanya" # nyama yote Hili ni neno kwa ajili ya "watu wote" au "viumbe vyote."