sw_tn/deu/05/25.md

16 lines
442 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha wanaisraeli kile walichokuwa wamesema kwa Musa
# Lakini tufe?
Walikuwa wameogopa kwamba watakufa kama alizungumza nao. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Tunaogopa kuwa tutakufa"
# Nani badala yetu yuko hapo...amefanya?
Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Hakuna watu badala yetu...wamefanya"
# nyama yote
Hili ni neno kwa ajili ya "watu wote" au "viumbe vyote."