sw_tn/deu/05/15.md

344 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja

Utaita akilini

Huu ni mfano. "Unapaswa kukumbuka"

kuwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa

Hapa "mkono hodari" na "mkono uluonyoshwa" ni mifano ya nguvu za Yahwe. Tofasiri hii kama ilivyo katika 4:34.