sw_tn/deu/05/15.md

12 lines
344 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja
# Utaita akilini
Huu ni mfano. "Unapaswa kukumbuka"
# kuwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa
Hapa "mkono hodari" na "mkono uluonyoshwa" ni mifano ya nguvu za Yahwe. Tofasiri hii kama ilivyo katika 4:34.