# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja # Utaita akilini Huu ni mfano. "Unapaswa kukumbuka" # kuwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa Hapa "mkono hodari" na "mkono uluonyoshwa" ni mifano ya nguvu za Yahwe. Tofasiri hii kama ilivyo katika 4:34.