sw_tn/deu/05/12.md

504 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja

kuiweka takatifu

"weka wakfu kwa Mungu"

fanya kazi yako yote

"fanya majukumu yako za kawaida"

siku ya saba

"Siku ya 7" Hapa "siku ya saba" ni namba ya kawaida kwa ajili ya saba

Juu yake hautafanya

"Siku ile usifanye"

ndani ya malango yako

Hapa "malango" ni rejeo ya mji wenyewe. "ndani ya jamii yako" au " ndani mji wako" au "kuishi pamoja nanyi"