sw_tn/deu/05/12.md

24 lines
504 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja
# kuiweka takatifu
"weka wakfu kwa Mungu"
# fanya kazi yako yote
"fanya majukumu yako za kawaida"
# siku ya saba
"Siku ya 7" Hapa "siku ya saba" ni namba ya kawaida kwa ajili ya saba
# Juu yake hautafanya
"Siku ile usifanye"
# ndani ya malango yako
Hapa "malango" ni rejeo ya mji wenyewe. "ndani ya jamii yako" au " ndani mji wako" au "kuishi pamoja nanyi"