# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja # kuiweka takatifu "weka wakfu kwa Mungu" # fanya kazi yako yote "fanya majukumu yako za kawaida" # siku ya saba "Siku ya 7" Hapa "siku ya saba" ni namba ya kawaida kwa ajili ya saba # Juu yake hautafanya "Siku ile usifanye" # ndani ya malango yako Hapa "malango" ni rejeo ya mji wenyewe. "ndani ya jamii yako" au " ndani mji wako" au "kuishi pamoja nanyi"