sw_tn/deu/05/11.md

408 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano ya "wewe" na "yako" ni umoja

Hautalichukua jina la Yahwe

"Hautalitumia jina la Yahwe"

kwa utupu

"kutojali" au "kutokuwa na heshima sahihi" au "kwa kusudi baya"

Yahwe hatamshikilia kuwa ana hatia

Hii inaweza kutajwa katika hali chanya. "Yahwe atamchukulia kuwa ana hatia" au "Yahwe atamhukumu"