sw_tn/deu/05/11.md

16 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano ya "wewe" na "yako" ni umoja
# Hautalichukua jina la Yahwe
"Hautalitumia jina la Yahwe"
# kwa utupu
"kutojali" au "kutokuwa na heshima sahihi" au "kwa kusudi baya"
# Yahwe hatamshikilia kuwa ana hatia
Hii inaweza kutajwa katika hali chanya. "Yahwe atamchukulia kuwa ana hatia" au "Yahwe atamhukumu"