sw_tn/deu/05/09.md

471 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja.

Hautavipigia magoti au kuvitumia

"Hautaabudu sanamu za kuchonga au fanya kama wanavyowa waamrisha"

Hauta

"Hapana"

Mimi...ni Mungu wa wivu

"Mimi...nataka mniabudu mimi pekee"

kwa maelfu, kwa wale wanapendao

Tofasiri zingine usoma " kwa vizazi elfu ambao wananipenda." Neno "elfu" ni mfano wa namba inayozidi kuhesabu.