sw_tn/deu/05/09.md

20 lines
471 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja.
# Hautavipigia magoti au kuvitumia
"Hautaabudu sanamu za kuchonga au fanya kama wanavyowa waamrisha"
# Hauta
"Hapana"
# Mimi...ni Mungu wa wivu
"Mimi...nataka mniabudu mimi pekee"
# kwa maelfu, kwa wale wanapendao
Tofasiri zingine usoma " kwa vizazi elfu ambao wananipenda." Neno "elfu" ni mfano wa namba inayozidi kuhesabu.