# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja. # Hautavipigia magoti au kuvitumia "Hautaabudu sanamu za kuchonga au fanya kama wanavyowa waamrisha" # Hauta "Hapana" # Mimi...ni Mungu wa wivu "Mimi...nataka mniabudu mimi pekee" # kwa maelfu, kwa wale wanapendao Tofasiri zingine usoma " kwa vizazi elfu ambao wananipenda." Neno "elfu" ni mfano wa namba inayozidi kuhesabu.