sw_tn/deu/04/47.md

483 B

nchi yake

nchi ya mfalme Sihoni

ng'ambo ya Yordani kuelekea mashariki...upande wa mashariki ng'ambo ya Yordani

Hii inarejea kwa nchi kuvuka mto Yordani, kuelekea mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa Mashariki mwa Yordani wakati aliposema hivi. "kutoka upande wa mto Yordani kuelekea mashariki... upande wa mashariki kutoka upande wa mto Yordani"

Aroeri

Hili ni jina la mji.

bonde la Arnon

Hili ni jina la eneo.

Mlima Sioni...Mlima Hermoni

Haya ni majina ya milima.