sw_tn/deu/04/47.md

20 lines
483 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nchi yake
nchi ya mfalme Sihoni
# ng'ambo ya Yordani kuelekea mashariki...upande wa mashariki ng'ambo ya Yordani
Hii inarejea kwa nchi kuvuka mto Yordani, kuelekea mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa Mashariki mwa Yordani wakati aliposema hivi. "kutoka upande wa mto Yordani kuelekea mashariki... upande wa mashariki kutoka upande wa mto Yordani"
# Aroeri
Hili ni jina la mji.
# bonde la Arnon
Hili ni jina la eneo.
# Mlima Sioni...Mlima Hermoni
Haya ni majina ya milima.