# nchi yake nchi ya mfalme Sihoni # ng'ambo ya Yordani kuelekea mashariki...upande wa mashariki ng'ambo ya Yordani Hii inarejea kwa nchi kuvuka mto Yordani, kuelekea mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa Mashariki mwa Yordani wakati aliposema hivi. "kutoka upande wa mto Yordani kuelekea mashariki... upande wa mashariki kutoka upande wa mto Yordani" # Aroeri Hili ni jina la mji. # bonde la Arnon Hili ni jina la eneo. # Mlima Sioni...Mlima Hermoni Haya ni majina ya milima.