sw_tn/deu/04/13.md

297 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.

Alitangaza

"Yahwe alitangaza"

kwako

Hapa "kwako" urejea kwa wanaisraeli walioenda kwenye mlima Horebu.

katika nchi ambayo ulikuwa unavuka kuchukua miliki ya

"baada ya kuvuka mto wa Yordani na kuchukua miliki ya nchi"