# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli. # Alitangaza "Yahwe alitangaza" # kwako Hapa "kwako" urejea kwa wanaisraeli walioenda kwenye mlima Horebu. # katika nchi ambayo ulikuwa unavuka kuchukua miliki ya "baada ya kuvuka mto wa Yordani na kuchukua miliki ya nchi"