sw_tn/deu/04/13.md

16 lines
297 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.
# Alitangaza
"Yahwe alitangaza"
# kwako
Hapa "kwako" urejea kwa wanaisraeli walioenda kwenye mlima Horebu.
# katika nchi ambayo ulikuwa unavuka kuchukua miliki ya
"baada ya kuvuka mto wa Yordani na kuchukua miliki ya nchi"