sw_tn/deu/04/03.md

20 lines
526 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli
# Macho yako yameona
Hapa "macho" urejea kwa watu wa Israeli
# Kwa sababu ya Baali Peor
Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa wazi. "kwa sababu ya dhambi ulifanya kwa Baali Peor"
# Yahwe Mungu wako amewaangamiza kutoka kwenu
Musa anazungumza kwa watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo "yako" na "wewe" ni umoja.
# wewe ulimshikilia Yahwe
Mwandishi anazungumza kama kumtegemea Yahwe na kumtii yeye kulikuwa kama kumshikilia mtu kimwili.