# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli # Macho yako yameona Hapa "macho" urejea kwa watu wa Israeli # Kwa sababu ya Baali Peor Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa wazi. "kwa sababu ya dhambi ulifanya kwa Baali Peor" # Yahwe Mungu wako amewaangamiza kutoka kwenu Musa anazungumza kwa watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo "yako" na "wewe" ni umoja. # wewe ulimshikilia Yahwe Mwandishi anazungumza kama kumtegemea Yahwe na kumtii yeye kulikuwa kama kumshikilia mtu kimwili.