sw_tn/deu/04/03.md

526 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli

Macho yako yameona

Hapa "macho" urejea kwa watu wa Israeli

Kwa sababu ya Baali Peor

Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa wazi. "kwa sababu ya dhambi ulifanya kwa Baali Peor"

Yahwe Mungu wako amewaangamiza kutoka kwenu

Musa anazungumza kwa watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo "yako" na "wewe" ni umoja.

wewe ulimshikilia Yahwe

Mwandishi anazungumza kama kumtegemea Yahwe na kumtii yeye kulikuwa kama kumshikilia mtu kimwili.