sw_tn/deu/03/23.md

825 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu kuhusu kile kilichotokea huko nyuma

Niliwasihi

Hapa "Ni" urejea kwa Musa. Hii inamaanisha alimuuliza Mungu kwa uhodari kabisa, kihisia.

kumuonesha mtumwa wako

Hapa "mtumwa wako" ni njia ya utulivu kuzungumza kwa mwingine na mamlaka makubwa.

mkono wako wa nguvu

Hapa neno "mkono" umaanisha utawala au nguvu.

kwa mungu yupi hapo...matendo?

Musa anatumia swali kusisitiza kwamba Yahwe ni Mungu pekee aliye na nguvu kufanya kazi alizozifanya. Swali hili linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "kwa kuwa hakuna mungu...matendo."

huko mbinguni au duniani

Huku kulikothiri mara mbili kwa pamoja unamaanisha "popote."

Ng'ambo ya Yordani

"magharibi mwa mto Yordani." Wakati Musa alizungumza haya maneno kwa Yahwe, alikuwa mashariki mwa mto Yordani huko Moabu.