sw_tn/deu/03/23.md

28 lines
825 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu kuhusu kile kilichotokea huko nyuma
# Niliwasihi
Hapa "Ni" urejea kwa Musa. Hii inamaanisha alimuuliza Mungu kwa uhodari kabisa, kihisia.
# kumuonesha mtumwa wako
Hapa "mtumwa wako" ni njia ya utulivu kuzungumza kwa mwingine na mamlaka makubwa.
# mkono wako wa nguvu
Hapa neno "mkono" umaanisha utawala au nguvu.
# kwa mungu yupi hapo...matendo?
Musa anatumia swali kusisitiza kwamba Yahwe ni Mungu pekee aliye na nguvu kufanya kazi alizozifanya. Swali hili linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "kwa kuwa hakuna mungu...matendo."
# huko mbinguni au duniani
Huku kulikothiri mara mbili kwa pamoja unamaanisha "popote."
# Ng'ambo ya Yordani
"magharibi mwa mto Yordani." Wakati Musa alizungumza haya maneno kwa Yahwe, alikuwa mashariki mwa mto Yordani huko Moabu.