# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu kuhusu kile kilichotokea huko nyuma # Niliwasihi Hapa "Ni" urejea kwa Musa. Hii inamaanisha alimuuliza Mungu kwa uhodari kabisa, kihisia. # kumuonesha mtumwa wako Hapa "mtumwa wako" ni njia ya utulivu kuzungumza kwa mwingine na mamlaka makubwa. # mkono wako wa nguvu Hapa neno "mkono" umaanisha utawala au nguvu. # kwa mungu yupi hapo...matendo? Musa anatumia swali kusisitiza kwamba Yahwe ni Mungu pekee aliye na nguvu kufanya kazi alizozifanya. Swali hili linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "kwa kuwa hakuna mungu...matendo." # huko mbinguni au duniani Huku kulikothiri mara mbili kwa pamoja unamaanisha "popote." # Ng'ambo ya Yordani "magharibi mwa mto Yordani." Wakati Musa alizungumza haya maneno kwa Yahwe, alikuwa mashariki mwa mto Yordani huko Moabu.