sw_tn/deu/03/08.md

28 lines
767 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# nje ya mkono wa wafalme wawili
Hapa maneno "nje ya mkono wa" unamaanisha 'kutoka utawala wa." "kutoka utawala wa wafalme wawili" au "toka kwa wafalme wawili"
# Amorites...Bashani...Edrei...Ogi
"Watu wa Amorite...nchi ya Bashani...mji wa Edrei...mfalme wa Ogi:
# ng'ambo ya pili ya Yordani
Hii urejea kwa nchi kuvuka mto Yordani kuelekea mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani wakati aliposema hivi: "mashariki mwa mto Yordani"
# Mlima wa Hermoni...Sirioni...Seniri
Haya ni majina ya mlima ule ule ambao uko kaskazini mwa mpaka wa Bashani.
# ya tambarare
Hii ni juu, nchi tambarare kati ya mto Arnon na Mlima Gileadi.
# Salekah
Hili ni jina la mji uliokaribu na Edrei.