sw_tn/deu/03/08.md

767 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

nje ya mkono wa wafalme wawili

Hapa maneno "nje ya mkono wa" unamaanisha 'kutoka utawala wa." "kutoka utawala wa wafalme wawili" au "toka kwa wafalme wawili"

Amorites...Bashani...Edrei...Ogi

"Watu wa Amorite...nchi ya Bashani...mji wa Edrei...mfalme wa Ogi:

ng'ambo ya pili ya Yordani

Hii urejea kwa nchi kuvuka mto Yordani kuelekea mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani wakati aliposema hivi: "mashariki mwa mto Yordani"

Mlima wa Hermoni...Sirioni...Seniri

Haya ni majina ya mlima ule ule ambao uko kaskazini mwa mpaka wa Bashani.

ya tambarare

Hii ni juu, nchi tambarare kati ya mto Arnon na Mlima Gileadi.

Salekah

Hili ni jina la mji uliokaribu na Edrei.