# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # nje ya mkono wa wafalme wawili Hapa maneno "nje ya mkono wa" unamaanisha 'kutoka utawala wa." "kutoka utawala wa wafalme wawili" au "toka kwa wafalme wawili" # Amorites...Bashani...Edrei...Ogi "Watu wa Amorite...nchi ya Bashani...mji wa Edrei...mfalme wa Ogi: # ng'ambo ya pili ya Yordani Hii urejea kwa nchi kuvuka mto Yordani kuelekea mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani wakati aliposema hivi: "mashariki mwa mto Yordani" # Mlima wa Hermoni...Sirioni...Seniri Haya ni majina ya mlima ule ule ambao uko kaskazini mwa mpaka wa Bashani. # ya tambarare Hii ni juu, nchi tambarare kati ya mto Arnon na Mlima Gileadi. # Salekah Hili ni jina la mji uliokaribu na Edrei.