sw_tn/deu/03/05.md

24 lines
362 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kwa kile kilichotokea hapo nyuma.
# Hii ilikuwa ni miji yenye ngome yote
"Hii ilikuwa miji iliyolindwa yote"
# badala ya
"kwa nyongeza" au "si pamoja"
# Sihoni
Hili ni jina la mfalme.
# Heshbon
Hili ni jina la mji.
# kuharibu kikamilifu kila mji
"kuua watu wote walioishi kwenye kila mji"