sw_tn/deu/03/05.md

362 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kwa kile kilichotokea hapo nyuma.

Hii ilikuwa ni miji yenye ngome yote

"Hii ilikuwa miji iliyolindwa yote"

badala ya

"kwa nyongeza" au "si pamoja"

Sihoni

Hili ni jina la mfalme.

Heshbon

Hili ni jina la mji.

kuharibu kikamilifu kila mji

"kuua watu wote walioishi kwenye kila mji"